Home »
» SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA AKUTANA NA BALOZI WA FINLAND
SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA AKUTANA NA BALOZI WA FINLAND
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Finland nchini, Antila Sinikka, wakati alipotembelea Ofisi za Bunge, mjini Dodoma jana. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
0 comments:
Post a Comment