Home » » UHABA WA MADAWATI BADO NI CHANGAMOTO KWA WANAFUNZI WILAYANI KONGWA, DODOMA.

UHABA WA MADAWATI BADO NI CHANGAMOTO KWA WANAFUNZI WILAYANI KONGWA, DODOMA.


Wanafunzi wa shule ya msing Kibaigwa wakiwa wameekaa chini kutokana na uhaba wa madawati shuleni hapo.
Wanafunzi wa Shule ya msingi ya Kibaigwa wilaya Kongwa mkoni Dodoma wakifurahia madawati mara baada  ya kukabidhiwa madawati hayo na Afisa wa Benki ya NMB mjini Dodoma.
Kwa mujibu wa uongozi wa shule ya msingi Kibaigwa kulikuwa na uhaba wa madawati jambo lililolazimisha wanafunzi wa shule hiyo kukaa chini.
Kumekuwa na uhaba wa madati kwa shule za manispaa ya halmashauri ya wilaya ya Kongwa, hata hivyo kumekuwa na jitihada ya kitaifa ya kumaliza uhaba wa madawati kwa shule za msingi na sekondari nchini.
Banki ya NMB imekuwa mstari wa mbele kuunga mkono jitihada ya serikali ya kutatua uhaba wa madawati nchini.
Kwa hisani ya Mo Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa