Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua Semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma May 12, 2012. Wengine kutoka kushoto ni Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Aman Abeid Karume, katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiteta na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama kabla ya kufungua semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Washiriki wa Semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye (kuahoto), Kingunge Ngombale -Mwiru (katikati) na Peter Kisumo wakiteta katika semina ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment