Home » » Spika wa Bunge akutana na Balozi wa marekani na Waziri wa Maji Ofisini kwake leo

Spika wa Bunge akutana na Balozi wa marekani na Waziri wa Maji Ofisini kwake leo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika Mazungumzo na balozi wa Marekeni hapa nchini Mhe. Alfonso Lenhardt alipo mtembelea Ofisini kwake Dodoma leo.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimsikilza kwa Makini Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Prof. Jumanne Maghembe alipo mtembelea Ofisini kwake Dodoma leo
Naibu Spika wa Bunge akiwa katika amzungumzo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Prof. Jumanne Maghembe alipo mtembelea Ofisini kwake Dodoma leo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa