Home » » Kutoka Dodoma Jana

Kutoka Dodoma Jana


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari. Vijana , Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati , Said Arfi na Mbunge wa Viti Maalum, Agripina Buyogela, Kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma July 23,2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati Said Arfi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa