Home » » KAMPUNI YA MSAMA PROMOTION YAKAMATA MITAMBO NA KAZI FEKI ZA WASANII MJINI DODOMA.

KAMPUNI YA MSAMA PROMOTION YAKAMATA MITAMBO NA KAZI FEKI ZA WASANII MJINI DODOMA.

Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION, Bw.Alex Msama pichani akifafanua jambo kwa Wanahabari (hawapo pichani),kuhusiana na tukio zima la kama kamata ya wezi wa kazi za wasanii iliofanyika mjini Dodoma.
Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION, Bw. Alex Msama (kulia) akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) Cd za video na Audio Cd za Muziki wa aina mbalimbali pamoja na Kompyuta za kudurufu kazi za wasanii kwa njia ya wizi kwenye  kituo kikuu cha Polisi mkoani Dodoma,mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaka na kuwakamata wezi  wa kazi za wasanii,ambapo jumla ya Cd na Computer zenye thamani ya shilingi milioni Sitini na saba zilikamatwa kwa msaada wa Jeshi la Polisi mkoani humo.(PICHA ZOTE NA DIRA MEDIA).

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa