Home » » KAULI YA LOWASA KUHUSU CHOKOCHOKO ZA MALAWI

KAULI YA LOWASA KUHUSU CHOKOCHOKO ZA MALAWI

"Tunategemea jambo hili litaisha kwa njia ya kidiplomasia, ikibidi kufuta njia ya nje kutatua mgogoro huu, sisi kama kamati tunasimama na kauli ya Waziri wa Mabo ya Nje Bernad Membe.
Hata hivyo ikibidi kutetea nchi yetu tupo tayari, tumeelezwa na vijana wetu wa jeshi kuwa  wamejiandaa kwa zana zote, Jeshi letu ni miongoni mwa jeshi bora Duniani, tuna silaha za kisasa na tumejiandaa zaaidi.
Watanzania tupo tayari kumwaga damu kwa ajili ya kutetea nchi yetu, tusali sana tusifike huko wenzetu wanapotaaka". LEO SAA 10: 15, MJINI DODOMA
Chanzo: Tabianchi blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa