Home » » Mh Rais Dr. Jakaya Kikwete Katika Kikao Cha Kazi

Mh Rais Dr. Jakaya Kikwete Katika Kikao Cha Kazi



 Wajumbe wakichangia katika kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae  ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kazi (retreat)  cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Pamoja naye meza kuu ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali (kulia) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.



 Rais Jakaya Mrisho kikwete na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakipitia Waraka wa Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009 kuhusu matumizi bora na salama ya vifaa na mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA) serikalini   wakati wa  kikao cha kazi (retreat)  cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali  kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika  ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma





PICHA NA IKULU

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa