Home » » KAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA ZAANZA KUKABIDHI RIPOTI.

KAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA ZAANZA KUKABIDHI RIPOTI.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 Profesa  Nehemia Ossoro (wa tatu kulkia) ambaye ni mwataaluma  aliyeko  Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa  Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini  (ESAURP akifafanua kuhusu suala la gharama ya serikali tatu(shirikishi) leo  kutokana kuwa haina vyanzo vya mapato kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan, ambaye hayupo pichani.
 Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Kidawa Hamid Salehe( kulia)akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan(kushoto).
 Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan (kushoto) akimsikiliza Profesa Ted  Mariyamkono(kulia), ambaye ni Mtendaji Mkuu wa  Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa  Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini  (ESAURP) wakati akitoa maelezo juu ya kitabu cha KATIBA  BORA  TANZANIA , maalum kwa wajumbe wa Bunge hilo  ili kusaidia mchakato wa Katiba mpya ,
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan(kushoto) akipokea kitabu cha KATIBA BORA TANZANIA  kutoka kwa Profesa Ted  Mariyamkono(kulia) ambacho kimetayarishwa na wanataaluma 100 kutoka Taasisi ya Utafiti ya  Umoja wa Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini (ESAURP) kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Bunge Mjini Dodoma leo kitakachosaidia kwenye mchakato wa Katiba mpya.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa