Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madiwani na Watendaji wa Halmashauri
ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga kwenye ukumbi wa Spika .Bungeni
mjini Dodoma Mei 27, 2014.Walipotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge
wao, Suleiman Nchambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na
Mbunge wa Moshi Vijijini, Cyrli Chami kwenye viwanja vya Bunge mjini
Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwandishi wa habari mkongwe, Prince Bagenda kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Maswa Mashariki , John Shibuda
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Mei 27, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment