Home » » SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI MASHINE ZA HYDRAFORM MKOA WA DODOMA‏

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI MASHINE ZA HYDRAFORM MKOA WA DODOMA‏

1
Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma Bw. Itandula Gambalagi akikabidhi mashine 28 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi katika hafla iliyofanyika katika ofisi za mkuu wa wilaya ya Chamwino.
2
Mkufunzi kutoka VETA akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa jinsi mashine hizo zinavyofanya kazi
3
Mkuu wa mkoa Dr Rehema Nchimbi akikabidhi mashine kwa wakuu wa wilaya za Chamwino na Kongwa kwa niaba ya wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Dodoma. (Picha kwa hisani ya kittengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa)

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa