Home » » MKUU WA MKOA ATOA TAMKO

MKUU WA MKOA ATOA TAMKO

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi amesema lazima wananchi wakubali mji wa Dodoma uwe na mipangomiji na ujenzi holela usiwepo na wannchi kutambua maeneo yaliyotengwa kwa ajili yamatumizi ya umma.Amesema hayo akizungumza na waandishi wa habari juu ya utekelezaji wake wa agizo la rais Jakaya Kikwete la kuangalia kero za mamlaka ya ustawi mji wa dodoma. > Amesema kero nyingi zipo kwenye bomoabomoa na wataona namna ya kutatua na kutumia busara katika kukabiliana nazo.Pia amewataka wananchi wajue mji wa Dodoma lazima uwe na mipango miji na ufuate utaratibu wa miji mingine kwani kuna maeneo mengin lazima maghorofa yajengwe na CDA na manispaa itoe taarifa katika mopango miji eneo lipi linatakiwa liwe na ghorofa.  Amewataka wananchi kutojenga katika maeneo yasiyorasmi n

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa