Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akiwaonyesha baadhi ya wake wa
viongozi zabibu zilizolimwa kwa kufuata ushauri wa watalamu wa
kilimo,zilizolimwa shambani kwa Waziri Mkuu Zuzu nje kidogo ya Dodoma
mjini,wakati walipotembelea ili kupata utalaamu wa kulima kilimo cha
Zabibu unavyo fanywa.kutoka kushoto ni Mama Malima,Mama Mashiba na Mama
Lukuvi.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment