Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
|
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais,
Muungano na Mazingira ambaye pia ni Mbunge Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson
Mpina (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Iringa Mjini,
Mhe. Mchungaji Peter Simon Msigwa wakielekea Bungeni kwa ajili ya vikao vya
asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
|
|
Waziri wa Nishati na
Madini, Mhe. Sospeter Mwijarubi Muhongo akiwasili Bungeni kwa jili ya
kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
|
Mbunge wa CHADEMA Jimbo
la Mikumi, Mhe. Joseph Leonard Haule akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria
vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
|
Mwenyekiti wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi, Mhe. Andrew
John Chenge (kulia) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakielkea ndani ya
Bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini
Dodoma.
|
|
Naibu Waziri, Wizara ya
Kilimo, Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge Jimbo la Ngorngoro, Mhe. William
Tate Ole-Nasha akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo
leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
|
|
Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Mary Machuche
Mwanjelwa akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24
Mei, 2016 mjini Dodoma.
|
|
Waziri wa Elimu,
Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhe. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako akiwasili
Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini
Dodoma.
|
|
Naibu Waziri, Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mb), Mhe. Eng. Edwin Amandus Ngonyani
(kushoto) akiwa ameongozana na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhe. Eng. Hamad Yusuf Masauni wakielekea ndani ya Bunge kwa ajili ya vikao vya
asubuhi vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
|
|
Waziri wa Viwanda,
Biashara na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa CCM Muleba Kaskazini, Mhe.
Charles John Mwijage akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge
hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
|
|
Waziri wa Katiba na
Sheria ambaye pia ni Mbunge wa CCM Jimbo la Kyela, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge kwa
ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya Bunge hilo leo 24 Mei, 2016
mjini Dodoma.
|
|
Waziri wa Maliasili na
Utalii ambaye pia ni Mbunge wa CCM Jimbo la Mwanga, Mhe. Prof. Jumanne Maghembe
akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhiria vikao
ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
|
|
Naibu Waziri, Wizara ya
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge Jimbo la Ilemela,
Mhe. Angeline Mabula (kulia) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiingia
ndani ya Bunge kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya Bunge hilo
leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
|
|
Mbunge wa CCM Jimbo la Kilolo, Mhe. Venance
Mwamoto (kushoto) akiwa ameongozana na Wabunge wenzie wakiingia ndani ya Bunge
kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya Bunge hilo leo 24 Mei, 2016
mjini Dodoma.
|
|
Waziri wa Fedha na
Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (katikati) akiwa ameongozana na Wabunge wenzie
wakiingia ndani ya Bunge kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya
Bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
|
|
Waziri wa Ulinzi na
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akiwasili katika viwanja
vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhiria vikao ndani ya bunge hilo leo 24
Mei, 2016.
|
|
Naibu Waziri, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde akiwasili katika
viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhiria vikao ndani ya bunge
hilo leo 24 Mei, 2016.
|
|
Mbunge wa CCM Singida
Kaskazini, Mhe. Lazaro Nyalandu akiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kwa ajili
ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
|
|
Mbunge wa Viti Maalum
CCM, Mhe. Halima Bulembo akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa
ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
|
|
Waziri wa Kilimo, Mifugo
na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa CCM Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Mwigulu
Nchemba akiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya
asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
|
|
Mbunge wa CCM Jimbo la Songwe, Mhe. Philipo
Mulugo (kushoto0 akiwa na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma
kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
|
|
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe. Lucy
Owenya (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge
mjini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo
24 Mei, 2016.
|
(Picha zote na Benedict Liwenga, MAELEZO, Dodoma)
0 comments:
Post a Comment