Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
|
Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwasili katika
viwanja vya Bunge kuhudhulia kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11
Mjini Dodoma Novemba 3,2016. |
|
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiwasili
Bungeni kuongoza katika kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini
Dodoma Novemba 3,2016.
|
|
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson
akiongoza kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma
Novemba 3,2016.
|
|
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kipindi cha
maswali ya moja kwa moja kwake wakati wa kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa
Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3, 2016. |
|
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) pamoja na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki
wakifuatilia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu katika kikao cha tatu cha
Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
|
|
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.
Prof Makame Mbarawa (kushoto) pamoja na Waziri wa Maji na Umwagiliaji
Mhe. Mhandisi Gerson Lwenge wakifuatilia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu
katika kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba
3,2016. |
|
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
likiendelea na kiako cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma
Novemba 3, 2016. |
0 comments:
Post a Comment