Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Dkt. Hassan Abbass
akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Nuru Millao (hayupo pichani)
wakati wa Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini mapema hii leo Mjini
Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Nuru Millao akizungumza na
Maafisa Mawasiliano wa Serikali (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi cha
maafisa hao mapema hii leo mjini Dodoma, kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari
Dkt. Hassan Abbass .
Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakiendelea na kikao kazi
mapema hii leo mjini Dodoma.
Bw. Dotto Paul toka Shule Kuu ya Uandishi wa Habari (IJMC)
akitoa mada kwa Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakati wa kikao kazi cha maafisa
hao (hawapo pichani) mapema hii leo mjini Dodoma.
Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakifuatilia mada wakati wa
kikao kazi mapema hii leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Bw. Theophil
Makunga akitoa mada kwa Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakati wa kikao kazi
cha maafisa hao (hawapo pichani) mapema hii leo mjini Dodoma.
Afisa Mawasiliano toka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Bw. Innocent Mungi akichangia mada wakati wa kikao kazi cha Maafisa
Mawasiliano wa Serikali mapema hii leo mjini Dodoma.
Picha zote na Eliphace Marwa - Maelezo
0 comments:
Post a Comment