Home » » WABUNGE WAWAKILISHI WA JUKWAA LA KIBUNGE LA SADC WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA JOB NDUGAI.

WABUNGE WAWAKILISHI WA JUKWAA LA KIBUNGE LA SADC WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA JOB NDUGAI.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Wabunge wawakilishi wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary Forum) wakiongozwa na Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADCPF, Mheshimiwa Selemani Zedi (wa pili kushoto), Mheshimiwa Jamal Ali (katikati), Mheshimiwa Esther Mmasi (wa pili kulia) na Mheshimiwa Magreth Sitta (kulia) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADC PF, Mheshimiwa Selemani Zedi (wa pili kushoto) akizungumza pale Wabunge wawakilishi wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary Forum) walipokutana na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto), Wengine ni Wajumbe wa Jukwaa hilo, Mheshimiwa Jamal Ali (katikati), Mheshimiwa Esther Mmasi (wa pili kulia) na Mheshimiwa Magreth Sitta (kulia). 

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa