Baadhi
ya Wawekezaji na wageni kutoka Taasisi za Kimataifa walioshiriki
Mkutano wa tatu wa majadiliano kati ya wadau wa Sekta Binafsi na Sekta
ya Umma uliofanyika mjini Dodoma.
Makamu
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Bw. Salum Shamte,
akizungumza wakati wa mkutano wa tatu kati ya Sekta Binafsi na Sekta ya
Umma uliojadili namna ya kuboresha masuala ya biashara na uwekezaji
nchini, mjini Dodoma.
Baadhi
ya Wafanyabiashara na Wawekezaji walioshiriki Mkutano wa tatu wa
majadiliano kati ya wadau wa Sekta Binafsi na Sekta ya Umma uliofanyika
mjini Dodoma.
Baadhi
ya Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu na
Maafisa wengine kutoka Wizara mbalimbali wakifuatilia mkutano kati ya
Sekta Binafsi na Sekta ya Umma, Mjini Dodoma.
Baadhi
ya Wafanyabiashara na Wawekezaji walioshiriki Mkutano wa tatu wa
majadiliano kati ya wadau wa Sekta Binafsi na Sekta ya Umma uliofanyika
mjini Dodoma.
Sehemu
ya wadau mbalimbali wakiwemo wabunge, wawekezaji na viongozi wa
Serikali walioshiriki mkutano kati ya Sekta Binafsi na Sekta ya Umma,
Mjini Dodoma.
Baadhi ya wabunge wakifuatilia kwa makini mkutano wa tatu wa wadau wa Sekta Binafsi na Sekta ya Umma uliofanyika mjini Dodoma
0 comments:
Post a Comment