Mkurugenzi wa Rafiki Wildlife Foundation Mch, Clement Matwiga (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika kuelekea maadhimisho ya 5 ya siku ya wanyamapori duniani, ambayo yatafanyika
Kitaifa Dodoma, March 3, 2018,tumekua bega kwa bega kushirikiana na Wizara kutuamini na ndio waandaaji kwa kushirikiana na wizara ya maliasili, Kulia ni Afisa Wanyamapori Mkuu Idara ya wanyamapori, Eligi Kimario.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Afisa Wanyamapori Mkuu Idara ya wanyamapori, Eligi Kimario (kulia), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya 5 ya siku ya wanyamapori duniani, ambayo yatafanyika Kitaifa Dodoma, March 3, 2018, ambapo Mgeni rasmi atakuwa Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa. Kushoto ni Mkurugenzi wa Rafiki Wildlife Foundation Mch, Clement Matwiga.
Mtendaji Mkuu wa Rafiki Wildlife Foundation, Fancis Lazaro (kulia) akizungumza jambo katika Hafla hiyo, Kushoto ni Afisa Wanyamapori Mkuu Idara ya wanyamapori, Eligi Kimario.
Afisa Wanyamapori Mkuu Idara ya wanyamapori, Eligi Kimario (kushoto) akizungumza katika hafla hiyo, kuanzia kulia ni mratibu wa Rafiki Wildlife Foundation, John Masanja na Mtendaji Mkuu wa Rafiki Wildlife Foundation, Fancis Lazaro.
0 comments:
Post a Comment