Mbunge wa Jimbo la Bumbuli(CCM)na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Nishati na Madini ya Bunge Mheshimiwa January Makamba Amesema "Ukweli halisi: Rushwa imetembea sana kwenye uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Wabunge wa vyama VYOTE tunahusika. Hii ni aibu kwa Taifa zima!"
Home »
» Alichokisema January Makamba Kuhusu Rushwa Kwenye Uchaguzi Wa Wabunge Wa Bunge La Afrika Mashariki
0 comments:
Post a Comment