Home » » Madaktari Wanafunzi wa Chuo cha Bugando, Mwanza Watembelea Bunge

Madaktari Wanafunzi wa Chuo cha Bugando, Mwanza Watembelea Bunge



Mbunge
wa Busega, Dr.Titus Kamani akisalimiana na madaktari wanafunzi wa Chuo
cha Bugando, Mwanza ambao Aprili 18, 2012 walitembelea Bunge Mjini
Dodoma
Mbunge
wa Busega, Dr. Titus Kamani (mwenye kaunda suti katikati) akiwa katika
picha ya pamoja na maktari wanafunzi kutoka chuo cha Bugando, Mwanza
ambao walitembelea Bunge Aprili 18, 2012.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa