Home » » Spika Wa Bunge Anne Makinda Akutana na Wabunge wapya wa Bunge la Afrika Mashariki Kutoka Tanzania Waliochaguliwa na Bunge jana Mjini Dodoma

Spika Wa Bunge Anne Makinda Akutana na Wabunge wapya wa Bunge la Afrika Mashariki Kutoka Tanzania Waliochaguliwa na Bunge jana Mjini Dodoma



Mwenyekiti
wa Kamati ya Mambo ya nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Edward Lowasa (Mb)
akifafanua jambo kuhusu utendaji kazi wa Bunge la Afrika Mashariki na
Bunge letu wakati wa kikao kati ya Spika na wabunge wapya wa Bunge la
Afrika Mashariki kutoka Tanzania waliochaguliwa na Bunge jana. Wabunge
hao walikutana na Mhe. Spika kwa lengo la kufahamiana pamoja na kupewa
maelezo ya awali kuhusu mahusiano ya Bunge letu na Bunge la Afrika
Mashariki.
Makamu
Mwenyekiti Kamati ya Mambo ya nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Mussa Azzan
Zungu (Mb) akiwaeleza jambo wabunge wapya wa Bunge la Afrika Mashariki
wakati wa kikao kati ya Spika na wabunge wapya wa Bunge la Afrika
Mashariki kutoka Tanzania waliochaguliwa na Bunge jana. Wabunge hao
walikutana na Mhe. Spika kwa lengo la kufahamiana pamoja na kupewa
maelezo ya awali kuhusu mahusiano ya Bunge letu na Bunge la Afrika
Mashariki.
Mmoja wa wabunge waliochaguliwa kwenye Bunge la Afrika Mashariki,akichangia mada kwenye mkutano huo.
Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda (kulia) akiwa katika kikao cha pamoja na
wabunge wapya wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania
waliochaguliwa na Bunge jana. Wabunge hao walikutana na Mhe. Spika kwa
lengo la kufahamiana pamoja na kupewa maelezo ya awali kuhusu mahusiano
ya Bunge letu na Bunge la Afrika Mashariki.
Wabunge
wapya wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania waliochaguliwa na
Bunge jana wakimsikiliza kwa Makini Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda
(hayupo pichani) wakati alipo kutana nao kwa lengo la kufahamiana pamoja
na kupewa maelezo ya awali kuhusu mahusiano ya Bunge letu na Bunge la
Afrika Mashariki.

Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa