Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari (Hawapo pichani) wakati akitoa tamko la Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dodoma kuhusu mustakabali wa Amani, Ulinzi na Usalama katika kipindi cha Mikutano yote ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa
(Hayupo pichani).
(Hayupo pichani).
0 comments:
Post a Comment