Home » » Waziri Mkuu akiwa mjini Dodoma leo

Waziri Mkuu akiwa mjini Dodoma leo



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wagombea wa nafasi za ubunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki na wapambe wao kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya (katikati ) na Balozi wa Afrika ya Kusini nchini, Thanduyise Chiliza, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, MizengoPinda akizungumza na Wenyeviti wa Halmashauri za Mkoa wa Mtwara, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa