Naibu Spika Mhe. Job Ndugai akimuaga mgeni wake mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao
Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue akifafanua jambo kwa Naibu
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai walipokutana Ofisi kwa Naibu Spika
Bungeni, Dodoma
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai walipokutana Ofisi kwa Naibu Spika
Bungeni, Dodoma
Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimweleza jambo Katibu Mkuu
kiongozi Balozi Ombeni Sefue mara alipofika kumtembelea Ofisini Kwake
Dodoma. Balozi Sefue alifanya ziara ya kikazi Bungeni Dodoma kwa lengo
la kujitambulisha na baadhi ya viongozi wa Bunge
0 comments:
Post a Comment