| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Eckernforde ya Tanga kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma , Aprili 23, 2012. |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Msingi ya Eckernforde ya Tanga kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 23, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 23,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo
SOMA HOTUBA KAMILI YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA YA KUAHIRISHA BUNGE
BOFYA HAPA
SOMA HOTUBA KAMILI YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA YA KUAHIRISHA BUNGE
BOFYA HAPA
| (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
0 comments:
Post a Comment