Home » » Usakaji wa vipaji vya Kili umefanyika jana mkoani Dodoma

Usakaji wa vipaji vya Kili umefanyika jana mkoani Dodoma



Wasanii wanaochipukia kutoka mkoani Dodoma waliojitokeza katika ukumbi
wa Club 84 katika usaili wa kuwa kati ya wasanii watakaotumbuiza kwenye
tamasha la ziara ya washindi itakayofanyika mkoani humo Jumamosi ya
tarehe28 mwezi huu katika viwanja vya Jamhuri


Mmoja wa washiriki akihojiwa na waratibu mpaka jana jioni  watapatikana washindi watatu
ambao watauwakilisha mkoa wa Dodoma katika Tamasha la washindi wa tuzo
za Kilimanjaro za msimu huu litakalofanyika Jumamosi hii



Majaji wa kusaka vipaji vipya vyaZiara ya washindi wa Kili Awards 2012
mkoani Dodoma, Joseph Haule, Henry Mdimu, Queen Darleen na Juma Nature
Mmoja kati ya wakazi wa dodoma waliojitokeza kuwania kutumbuiza jukwaa
moja na washindi wa tunzo za kili za mwaka huu akishiriki kuwania nafasi
hiyo nje ya ukumbi wa 84 mkoani Dodoma

Picha Zote na Lukaza Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa