Home » » WASHINDI WA KILI STAR SEARCH 2012 DODOMA WATAKAOPANDA JUKWAA MOJA NA WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARD 2012 WAPATIKANA

WASHINDI WA KILI STAR SEARCH 2012 DODOMA WATAKAOPANDA JUKWAA MOJA NA WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARD 2012 WAPATIKANA



 majaji
Kazini, hapa wakisikiliza muongozo kutoka kwa muendesha zoezi, Irene
Kiwia, ambaye hayupo pichani, kutoka kushoto ni henry Mdimu, Joseph
Haule, Queen Darleen, na Juma Nature
 Mmoja wa washiriki Juma Madaraka akionesha ujuzi wake wa kuimba na kucharaza gitaa mbele ya majaji
 Hawa ndio 20 bora waliokuwa wameingia katika fainali za mashindano hayo kutoka mkoani Dodoma
 Washiriki wakipongezana baada ya tatu bora itakayowakilisha mkoa wa Dodoma kutajwa
 Tatu bora, kutoka kushoto ni halima ramadhani, katikati ni Juma Madaraka na mwisho kabisa ni Issa Dubat
Washiriki wakifurahi pamoja baada ya washindi kutajwa.Picha/Habari kwa Hisani ya Jane John

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa