![]() |
| BASI LA SUMRY LIKIWA LINAUNGUWA - DODOMA YETU PICTURES |
BASI LA SUMRY LIMEPATA AJALI MUDA HUU NJE KIDOGO NA DODOMA MPAKA SASA HAIELEWEKI LILIKUWA LINATOKEA WAPI NA KUELEKEA WAPI, TAARIFA ZA HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA ZIMA MOTO LIMEFIKA ENEO LA TUKIO NA SHUGHULI YA KUZIMA MOTO HUO KATIKA BASI ZINAENDELEA MPAKA MUDA HUU HAILEWEKI BADO KAMA KUNA MAJERUHI AMA MAAFA YOYOTE YAMETOKEA ENDELEA KUFUATILIA MTANDAO HUU.
Picha imetumwa na mdau wa Dodoma yetu Mtumishi Addo November

0 comments:
Post a Comment