 |
Wahudumu wa afya kutoka sehemu tofauti mkoa wa Dodoma wakipita mbele
ya mgeni rasmi mkuu wa Mkoa wa Dodoma dk Rehema Nchimbi wakati wa
maadhimisho ya sherehe za mei mosi ambayo kimkoa ilifanyika katika
uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. |
 |
Wafanyakazi wa shirika la umeme(Tanesco)mkoa wa Dodoma wakionyesha
jinsi wanavyofanya kazi mbele ya mgeni rasmi mkuu wa Mkoa wa Dodoma dk
Rehema Nchimbi wakati wa maadhimisho ya sherehe za mei mosi ambayo
kimkoa ilifanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. |
 |
Wafanyakazi wa wakala wa taifa wa hifadhi ya chakula mkoa wa Dodoma
wakionyesha jinsi wanavyofanya kazi mbele ya mgeni rasmi mkuu wa Mkoa
wa Dodoma dk Rehema Nchimbi wakati wa maadhimisho ya sherehe za mei
mosi ambayo kimkoa ilifanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini
Dodoma. |
Picha zote na Picha na Masoud Masasi,Dodoma
0 comments:
Post a Comment