Wafugaji wakiwakokota ngombe na mbuzi katika barabara ya sabasaba
kama walivyokutwa jana katikati ya mji wa Dodoma na kusababisha
msongamano wa magari,licha ya mifugo hiyo kukamatwa mara kwa mara
kutokana na kuingia mjini lakini wafugaji nao wamekuwa wakilalamika
kutopewa sehemu maalumu ya kuhifadhia mifugo yao.
Picha na Masoud Masasi wa Mjengwablog,Dodoma

0 comments:
Post a Comment