Home » » Nyama Na Utumbo Vyafukiwa Shimoni Dodoma

Nyama Na Utumbo Vyafukiwa Shimoni Dodoma




Afisa afya na Mazingira wa Manispaa ya Dodoma Leornad
Ndama(kulia)akimwaga kwenye shimo tayari kwa kuichoma moto ndoo ya
nyama ya ng'ombe iliyokamatwa ikiuzwa katika maeneo yaliyokatazwa na
Manispaa hiyo ambapo waliokamatwa walifikishwa mahakamani.Picha na Masoud Masasi wa Mjengwablog, Dodoma.
Kwa Hisani ya Mjengwa Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa