Home » » Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Awapiga Msasa Wakuu Wapya wa Mikoa na Wilaya Mjini Dodoma

Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Awapiga Msasa Wakuu Wapya wa Mikoa na Wilaya Mjini Dodoma


Waziri wa zamani na Mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru akitoa mada katika Kikao cha Wakuu wa Mikoa na Wilaya  na  Makatibu Tawala wa Mikoa kwenye Kituo cha Mikutano cha St.Gaspar Mjini Dodoma May 21, 2012. 
Baadhi ya washiriki wa Semina ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja  na Makatibu Tawala wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua kikao chao  kwenye Kituo cha Mikutano cha St. Gaspar Mjini Dodoma May 21, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (kushoto) na Waziri wa Zamani na mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Kikao cha Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa kwenye Kituo cha mikutano cha St. Gaspar Mjini Dodoma May 21,2012.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa