Home » » Rais Kikwete aongoza mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya mjini Dodoma

Rais Kikwete aongoza mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya mjini Dodoma


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri mkuu Mizengo
Pinda na Wziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia wakiongoza Mafunzo ya Wakuu wa mikoa,
Makatibu Tawala wa mikoa na Wakuu wa wilaya yanayofanyika katika ukumbi wa
St.Gaspar mkoani Dodoma.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati
mafunzo ya wakuu wa mikoa,makatibu tawala na wakuu wa wilaya inayoendelea
katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa na wilaya wanaoshiriki
katika mafunzo katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma
(picha na Freddy Maro)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa