Home » » RAIS KIKWETE, AFUNGUA SEMINA YA APRM KWA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA CCM MJINI DODOMA LEO

RAIS KIKWETE, AFUNGUA SEMINA YA APRM KWA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA CCM MJINI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,  akifungua semina ya Africa Peer Review Mechanism  (APRM) kwa wajumbe wa Halmashauri kuu ya  CCM taifa katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo asubuhi. Kulia  ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama.
Baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa wakihudhuria semina maalumu ya APRM iliyofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo asubuhi. Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa