Home » » Redds MISS Higher Learning Dodoma 2012 hawa hapa

Redds MISS Higher Learning Dodoma 2012 hawa hapa


Jacqline Mwanicheta 
 Belinda Mbogo
 Virginia Mokiri
 Mariana Kundya
 Elizabeth Tarimo
Janeth Madama
Tatu Mohamed
 Jennifer Mafuru
 Lilian Lavian

Lilian Maleo









Washiriki wa Redds Miss Higher Learning
Dodoma 2012, wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao ya mazoezi iliyopo
katika Ukumbi wa NK Club mjini Dodoma leo. Warembo hawa watapanda jukwaani
Ijumaa hii kuwania taji hilo.


 ***
Warembo
11 wa Redds Miss Higher Learning Dodoma wanataraji kupanda Jukwaani May 18,2012
katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma kuwania taji hilo kwa mwaka huu.


Show
hiyo inataraji kuzindikizwa na Mwimbaji bora wa Kiume wa Tuzo za Kili Music
Award 2012, Barnaba kutoka kundi la THT ambaye kwa sasa anawika na wimbo wake
wa Magubegube.


Shindano
hilo mbali na kudhaminiwa na REDDS, pia limepata udhamini wa Nokia, Star Time,
Nina’s Fashion, Shabby Bus, Clouds FM, African Dream, Club 84, Radio Kifimbo,
Salama Salon, Jambo Leo, Mapouder Cosmetics, Emage For You, Salome Boutiq,
Dicentman Blog, Lukaza Blog, na Café La’Tino.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa