Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda (kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kuteuliwa Anna Abdallah (kushoto) katika viwanja vya Bunge,mjini Dodoma leo.
Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa TAMISEMI, Aggrey Mwanrijana katika viwanja vya Bunge,mjini Dodoma leo.
Picha na Tiganya Vincent-Dodoma
Picha na Tiganya Vincent-Dodoma
0 comments:
Post a Comment