

RAISI wa serikali ya wanafunzi katika chuo kikuu cha St.John Tanzania
Andrew Chiduo akila kiapo cha kuitumikia cha kuitumikia serikali hiyo
kwa uadilifu na uaminifu kwa mujibu wa katiba ya serikali ya wanafunzi
mara baada ya kushinda katika uchaguzi uliofanyika Juni mosi mwaka
huu.Ataitumikia serikali hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja tangu
sasa.
Picha naMasoud Masasi wa Dodoma yetu blog
0 comments:
Post a Comment