Home » » BODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA YAFANYA KIKAO CHAKE SAMBAMBA NA KAMATI YA USHAURI YA MKOA‏

BODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA YAFANYA KIKAO CHAKE SAMBAMBA NA KAMATI YA USHAURI YA MKOA‏



Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (katikati) akitoa hotuba
fupi wakati akifungua kikao cha bodi ya barabara Mkoa wa Dodoma
kilichofanyika Jana sambamba na kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa
kwenye ukumbi wa mikutano St. Gasper Mjini Dodoma, kulia ni Makamu
Mwenyekiti wa Bodi hiyo Mhe. Ezekia Chibulunje (MB) na kushoto ni
Katibu Tawala Mkoa Bi. Rehema Madenge.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akitoa hotuba fupi wakati
akifungua kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Dodoma kilichofanyika
jana sambamba na kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa kwenye ukumbi wa
St. Gasper Mjini Dodoma, kulia ni baadhi ya Wajumbe wa Kikao
wakimsikiliza kwa makini.





Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Barabara Mkoa wa Dodoma na Kamati ya
Ushauri ya Mkoa wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi wa kikao
cha Bodi kilichofanyika jana sambamba na kikao cha Kamati ya Ushauri
ya Mkoa kwenye ukumbi wa mikutano St. Gasper Mjini Dodoma.
Picha na Masoud Masasi wa Dodoma yetu Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa