Waziri Wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni mjini Dodoma jana.
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Lucy Kiwelu, akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu
bungeni mjini Dodoma.

Mbunge wa jimbo la Nkenge, Assumpter Mshamba (CCM), akichangia bajeti ya Ofisi ya Wazoro Mkuu, bungeni mjini Dodoma.
Waziri
wa Fedha, William Mgimwa akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, nje ya Ukumbi wa
bunge mjini Dodoma.

Mbunge wa Moshi Mjini, Phillemon
Ndesamburo (Chadema),akisalimiana na mjasiliamali, Emma Kawawa ambaye
ni mtoto wa marehemu Rashid Mfaume Kawawa, walipokutana kwenye viwanja
vya bunge mjini Dodoma jana. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Owenye
(Chadema), ambaye ni mtoto wa Ndesamburo.

Kiongozi wa Kambi ya Upinzania Bungeni an Mbunge wa Hai(CHADEMA),Freeman Mbowe(Kulia)akibadilishana mawazo na Waziri wa Tamisemi, Hawa Ghasia
nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.Picha Zote na Joseph Senga

0 comments:
Post a Comment