Home »
» WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA
WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA
 |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa
Ghasia (kulia) na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Peniel Lymo
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2012. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu) |
 |
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua zabibu wakati alipotembelea shamba la
Tendaji Agro lililopo katika kijiji cha Chikopelo wilayani Bahi, Dodoma
juni 24, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
 |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisoma Hotuba ya Bajeti ya Ofisi yake ,
Bungeni Mjini, Dodoma Juni 25, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
 |
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na Mbunge wa
Lindi Mjini , Salum Baluany kwnye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni
25,2012. Kulia ni Mtoto wa Waziri Mkuu, George Bush. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu) |
0 comments:
Post a Comment