Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotions Ltd.Bwa. Alex Msama akizungumza jambo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.Mizengo pinda mapema leo nje ya jengo la Bunge mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotions Ltd.Bwa. Alex Msama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia mapema leo nje ya jengo la Bunge mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotions Ltd.Bwa. Alex Msama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mh.Amos Makalla mapema leo nje ajengo la Bunge mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment