Home » » ALERT KWA WAKAZI WA DODOMA UWIZI WA SITE MIRA,TAA PAMOJA NA POWER WINDOW ZA GARI UMETAWALA KATIKA JIJI LA DODOMA

ALERT KWA WAKAZI WA DODOMA UWIZI WA SITE MIRA,TAA PAMOJA NA POWER WINDOW ZA GARI UMETAWALA KATIKA JIJI LA DODOMA

HI ni moja ya gari yetu ya altezza ambayo ilienda jijin dodoma kwa ajili ya kupeleka family kula sikuku, lakini kwa bahati mbaya juzi wazee wa kazi waliingia na kufumua taa zote za nyuma, power window pamoja na site mirror
thadhari;kwa hiyo ndugu wasomaji blog ya ujanatz ilipoenda katka kituo kikuu cha polisi cha dodoma tukapewa taarifa kuwa gari zaidi ya saba zishapigwa, na inavyoonekana hao jamaa ni maprofressiona so chukua tahadhari kabla hujalizwa!
Chanzo: Dj Sek blog

1 comments:

Unknown said...

Dodoma si jiji ni manispaa

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa