Home » » Rais Jakaya Kikwete Azindua Awamu Ya Tatu Ya TASAF

Rais Jakaya Kikwete Azindua Awamu Ya Tatu Ya TASAF

 Dr. Jakaya Kikwete akisikiliza kwa kina maelezo kutoka kwa mwakilishi wa TASAF katika mabanda ya TASAF,katika uzinduzi
wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini
zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
 Dr. Jakaya Kikwete akipewa maelzo ya zulia katika mabanda ya TASAF,katika uzinduzi
wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini
zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
 Dr. Jakaya Kikwete akipewa maelezo ya bidhaa kutoka Unguja katika mabanda ya TASAF,katika uzinduzi
wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini
zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
Dr. Jakaya Kikwete akikagua mabanda ya TASAF, akiongozana na spika wa bunge la Tanzania,Mama Anne Makinda,katika uzinduzi
wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini
zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.Kwa Picha zaidi Moja kwa Moja Kutoka Dodoma 

Bofya na Endelea......>>>

0 comments:

Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa