Home » » Waziri Mkuu Mizengo Pinda Atembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Kwenye Maonyesho ya Nanenane Mkoani Dodoma

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Atembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Kwenye Maonyesho ya Nanenane Mkoani Dodoma


 Mhe.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Waziri Maliasili na
Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu baada ya kuwasili katika banda la Wizara
katika maonyesho ya Wakulima ya Nanenane kitaifa yanayoendelea mkoani,
Dodoma. Wazir Mkuu Mhe. Mizengo Pinda atembelea maonyesho ya Nyuki
katika Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii , katika viwanja vya
Nzuguni, Dodoma.
  Mhe.
Waziri MKuu akitoa maelezo baada ya kusikiliza maelezo kutoka kwa
mtaalamu anaendesha mafunzo maalam ya ufugaji nyuki yanaqyotolewa ndani
ya banda la Wizara ya     Maliasili na Utalii.
   Mhe.
Waziri MKuu akiangalia sampuli za asali kutoka kwa moja ya wadau wa
bidhaa za Nyuki wanaoshiriki maonyesho ya nane nane ndani ya banda la
wizara ya Maliasili na Utalii.
 Mhe. Waziri Mkuu akiangalia mzinga wa nyuki wasiouma katika shamba darasa la ufugaji nyuki 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa