Home » » Kutoka Bungeni Mjini Dodoma

Kutoka Bungeni Mjini Dodoma



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na wabunge Sylvester Kasulumboyi wa
Maswa Mashariki (kulia) na Mbunge wa Bukombe, Profesa Kulikoyela Kahigi
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 6, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa
timu ya Yanga ambao walipeleka Kombe la Michuoano Kagame Bungeni Augost
6, 2012. Kushoto kwake ni Mama Fatuma Karume.Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa