Home » » Kikao cha kamati ya maadili cha CCM chafanyika leo Dodoma

Kikao cha kamati ya maadili cha CCM chafanyika leo Dodoma


Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikartibishwa na Katibu Mkuiu wa Chama hicho Bw. Wilson Mukama  katika ukumbi wa White House jijini Dodoma kuongoza kikao cha kamati ya Maadili cha CCM asubuhi hii. Picha na Freddy Maro

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa