Home » » Kutoka Dodoma:Rais Kikwete katika picha ya Pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM mjini Dodoma Leo

Kutoka Dodoma:Rais Kikwete katika picha ya Pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM mjini Dodoma Leo

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Dk.
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya moja na wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM mjini Dodoma wakati wa kikao cha
NEC kilichofanyika jana. Kikao hicho kilikuwa cha mwisho kwa wajumbe wa
NEC baada ya kumalizika kwa kipindi cha miaka mitano ya uongozi
wao.Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa