Vijana wakisubiri wateja wa kuwauzia maandazi kama walivyokutwa jana katika eneo la majengo mjini dodoma,vijana wengi mjini hapa wamekuwa wakiacha shule na kujiingiza katika biashara mbalimbali.Picha na Masoud Masasi
www.blogszamikoa.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment