Home »
» WAMASAI MJINI DODOMA WAKICHEZA BAO WAKATI WANANGOJEA WATEJA WA KUSUKWA.
WAMASAI MJINI DODOMA WAKICHEZA BAO WAKATI WANANGOJEA WATEJA WA KUSUKWA.
Wamasaiwanaojishughulisha na kazi ya ususina uuzaji wa dawa za asili katika manispaa ya Dodoma wakicheza mchezo wa bao huku wakisubiri wateja wao kama walivyonaswa na kamera juzi katika eneo la Jamatini mjini hapa,
0 comments:
Post a Comment